Habari Mpya
-
15
October
2022SGR YAZIDI KUWA CHACHU YA MAENDELEO WILAYANI KILOSA
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendela kuwapatia malipo ya fidia wananchi wa wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro ili kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Soma zaidi
-
14
October
2022MAKAMANDA, MAAFISA WANAFUNZI JWTZ WATEMBELEA SGR MWANZA – ISAKA KATIKA ZIARA YA KIMAFUNZO
Makamanda na maafisa wanafunzi kutoka chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha JWT Duluti, Arusha, wakiongozwa na mkuu wa Chuo hicho Brig. Gen. Sylvester Ghuliku Soma zaidi
-
13
October
2022TRC YAADHIMISHA KILELE CHA WIKI YA USALAMA WA RELI
Shirika la Reli Tanzania – TRC kwa kushirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia – TAZARA, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini – LATRA, Soma zaidi
-
12
October
2022WANANCHI WATWALIWA MAENEO YAO KWAAJILI YA KUCHIMBA VIFUSI MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la malipo ya fidia kwa wananchi ili kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha pili Morogoro- Makutupora Soma zaidi
-
11
October
2022TRC YAENDELEA NA UTOAJI ELIMU KATIKA WIKI YA USALAMA WA RELI
Shirika la Reli Tanzania linaendelea na kampeni ya uelewa kuhusu ulinzi na usalama wa reli katika maeneo ya ushoroba wa reli jijini Dar es Salaam Oktoba 11, 2022. Soma zaidi
-
11
October
2022TRC NA WFP KUSHIRIKIANA KUSAFIRISHA BIDHAA ZA MAZAO YA MATUNDA NA MBOGAMBOGA
Shirika Reli Tanzania – TRC na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani - WFP wamezindua mpango wa makubaliano ya kutoa huduma ya usafirishaji wa bidhaa za mbogamboga na matunda, makao makuu WFP Jijini Dar es Salaam, Oktoba 10, 2022 Soma zaidi

