Habari Mpya
-
27
September
2022KAMATI ZA BUNGE ZASAFIRI KWA SGR DODOMA HADI DAR ES SALAAM
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Uwekezaji Mitaji ya Umma zimefanya ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi
-
16
September
2022WATAALAMU MAMLAKA ZA HALI YA HEWA BARANI AFRIKA NA ULAYA WAZURU SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC limepokea wajumbe takribani 150 kutoka Mamlaka za Hali ya Hewa Barani Afrika na Mashirika ya Satelite Barani Ulaya kutembelea ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR Septemba 15, 2022. Soma zaidi
-
15
September
2022WANANCHI MKOANI SHINYANGA NA MWANZA WAPOKEA HUNDI ZA MALIPO YA FIDIA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea na zoezi la kukabidhi hundi za malipo ya fidia kwa wananchi waliotwaliwa maeneo yao mkoani Shinyanga na Mwanza, Septemba 2022 Soma zaidi
-
15
September
2022TRC YATWAA ARDHI SHINYANGA MANISPAA KUENDELEZA UJENZI WA SGR KIPANDE CHA TANO ISAKA - MWANZA
Shirika la Reli Tanzania - TRC limeendelea kutwaa ardhi katika manispaa ya Shinyanga kupisha mradi wa reli ya kisasa katika kipande cha Tano ambacho ni Isaka - Mwanza, Septemba 2022. Soma zaidi
-
10
September
2022TRC, TANAPA KUSHIRIKIANA KUKUZA UTALII WA NDANI
Shirika la Reli Tanzania - TRC yashirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania - TANAPA kukuza utalii wa ndani baada ya kutembelea kituo cha stesheni ya Mvave Soma zaidi
-
10
September
2022WAKUFUNZI KUTOKA KORAIL WAFANYA ZIARA KATIKA MRADI WA SGR DAR - MORO
Wafanyakazi zaidi ya 30 wa Shirika la Reli Tanzania - TRC wakiambatana na wataalamu 15 kutoka Shrika la Reli la Korea - KORAIL na wafanya ziara ya siku mbili kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro Septemba 2022. Soma zaidi