Habari Mpya
-
24
December
2022MRADI WA SGR KIPANDE CHA TANO ISAKA – MWANZA, TRC YAENDELEA KUTWAA ARDHI
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha tano Isaka - Mwanza Soma zaidi
-
22
December
2022RAIS DKT. SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA SGR TABORA - KIGOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR awamu ya pili, kipande cha kwanza Tabora - Kigoma Ikulu jijini Dar es Salaam, Disemba 20, 2022. Soma zaidi
-
15
December
2022MABEHEWA MAPYA YA METER GAUGE YAANZA SAFARI RASMI KUELEKEA KIGOMA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – TRC Masanja Kadogosa ameruhusu treni ya abiria yenye mabehewa mapya 21 Soma zaidi
-
13
December
2022141 WAHITIMU CHUO CHA RELI, TRC YAANIKA MIPANGO UPANUZI WA CHUO
Chuo cha Teknolojia ya Reli Tanzania, TIRTEC kimefanya mahafali yake ya pili ambapo jumla ya wahitimu 141 wametunukiwa vyeti, astashahada ya awali na astashahada katika taaluma mbalimbali za sekta ya usafirishaji kwa njia ya reli, Disemba 10, 2022 mkoani Tabora. Soma zaidi
-
06
December
2022WAJUMBE HALMASHAURI KUU CCM WARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA SGR
Wenyeviti pamoja na wajumbe kutoka visiwani Zanzibar na Bara wa Halmashauri kuu ya Taifa Chama Cha Mapinduzi - CCM watembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Soma zaidi
-
29
November
2022WAZIRI WA MIUNDOMBINU WA BURUNDI ATEMBELEA MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania – TRC limepokea ugeni wa Waziri wa Miundombinu kutoka nchini Burundi Mhe. Dieudonne Dukundane kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam – Morogoro katika stesheni kuu ya SGR jijini Dar es Salaam hivi karibuni Novemba, 2022. Soma zaidi

