Habari Mpya
-
24
October
2022KONGO YAVUTIWA NA MAENDELEO YA MRADI WA SGR NCHINI
Shirika la Reli Tanzania – TRC limepokea ugeni wa Rais wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe. Felix Tshilombo Tshisekedi kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam - Morogoro katika stesheni kuu ya SGR jijini Dar es Salaam Oktoba 24, 2022. Soma zaidi
-
16
October
2022WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA ZIARA KATIKA MRADI WA SGR MWANZA - ISAKA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amefanya ziara kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR Mwanza – Isaka Oktoba 16, 2022. Soma zaidi
-
15
October
2022SGR YAZIDI KUWA CHACHU YA MAENDELEO WILAYANI KILOSA
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendela kuwapatia malipo ya fidia wananchi wa wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro ili kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Soma zaidi
-
14
October
2022MAKAMANDA, MAAFISA WANAFUNZI JWTZ WATEMBELEA SGR MWANZA – ISAKA KATIKA ZIARA YA KIMAFUNZO
Makamanda na maafisa wanafunzi kutoka chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha JWT Duluti, Arusha, wakiongozwa na mkuu wa Chuo hicho Brig. Gen. Sylvester Ghuliku Soma zaidi
-
13
October
2022TRC YAADHIMISHA KILELE CHA WIKI YA USALAMA WA RELI
Shirika la Reli Tanzania – TRC kwa kushirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia – TAZARA, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini – LATRA, Soma zaidi
-
12
October
2022WANANCHI WATWALIWA MAENEO YAO KWAAJILI YA KUCHIMBA VIFUSI MRADI WA SGR
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la malipo ya fidia kwa wananchi ili kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha pili Morogoro- Makutupora Soma zaidi