Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • SERIKALI YAZIDI KUTOA HAMASA YA KULETA MAENDELEO YA NCHI KWA WANANCHI MKOANI MOROGORO
  07
  February
  2021

  SERIKALI YAZIDI KUTOA HAMASA YA KULETA MAENDELEO YA NCHI KWA WANANCHI MKOANI MOROGORO

  Serikali inazidi kutoa hamasa ya kuleta maendeleo ya nchi kwa wananchi wa mkoa wa Morogoro baada ya kuendeleza zoezi la ulipaji wa fidia katika maeneo mbalimbali yaliyobaki Soma zaidi

 • TRC NA TPSF WAFANYA KONGAMANO LA KWANZA LA WADAU KUJADILI FURSA KATIKA MRADI WA SGR
  30
  January
  2021

  TRC NA TPSF WAFANYA KONGAMANO LA KWANZA LA WADAU KUJADILI FURSA KATIKA MRADI WA SGR

  Shirika la Reli Tanzania – TRC kwa kushrikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini – TPSF wamefanya kongamano la kwanza la wadau wa sekta binafsi kujadili fursa katika mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Mwanza – Isaka katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza Januari 30, 2021. Soma zaidi

 • SHIRIKA LA RELI TANZANIA KUTOA FURSA KWA WATEJA WA AIRTEL KUNUNUA TIKETI MTANDAONI
  14
  December
  2020

  SHIRIKA LA RELI TANZANIA KUTOA FURSA KWA WATEJA WA AIRTEL KUNUNUA TIKETI MTANDAONI

  Shirika la Ŕeli Tanzania - TRC limetoa fursa kwa wateja wa kampuni ya mtandao wa simu AIRTEL kwa kuwarahisishia huduma za ukataji tiketi kwa njia ya mtandao katika kipindi cha msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kwa wateja Soma zaidi

 • WAKUU WA MIKOA, KAGERA NA MTWARA WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA
  13
  December
  2020

  WAKUU WA MIKOA, KAGERA NA MTWARA WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA

  Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti wakiambatana na baadhi ya vijana kutoka mikoa hiyo wametembelea jengo la Stesheni ya Reli ya Kisasa lililopo jijini Dar es Salaam, Disemba 13, 2020. Soma zaidi

 • ​SHIRIKA LA RELI TANZANIA -TRC LACHANGIA UKARABATI WA BARABARA MOROGORO VIJIJINI
  05
  December
  2020

  ​SHIRIKA LA RELI TANZANIA -TRC LACHANGIA UKARABATI WA BARABARA MOROGORO VIJIJINI

  Shirika la Reli Tanzania – TRC limetoa mchango wa ukarabati wa barabara Morogoro Vijijini katika tarafa ya Ngerengere hivi karibuni Disemba, 2020 ikiwa ni sehemu ya kuleta maendeleo katika jamii zilizopo jirani na mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR. Soma zaidi

 • MKURUGENZI MKUU TRC AMESHIRIKI MKUTANO WA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA
  03
  December
  2020

  MKURUGENZI MKUU TRC AMESHIRIKI MKUTANO WA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA

  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la reli Tanzania - TRC Ndugu Masanja Kungu Kadogosa ameshiriki katika mkutano mkuu wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali na kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya mradi wa ujenzi wa reli kisasa - SGR Soma zaidi

Tanzania Census 2022