Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


  • ​RC CHALAMILA APONGEZA HUDUMA YA TRENI ZA JIJINI DAR ES SALAAM
    09
    November
    2023

    ​RC CHALAMILA APONGEZA HUDUMA YA TRENI ZA JIJINI DAR ES SALAAM

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametembelea Shirika la Reli Tanzania – TRC kuona huduma ya usafiri wa treni ya mjini inayofanya safari kutoka Kamata kuelekea Pugu Soma zaidi

  • TRC YAZINDUA MAFUNZO YA HUDUMA KWA WATEJA
    06
    November
    2023

    TRC YAZINDUA MAFUNZO YA HUDUMA KWA WATEJA

    . Soma zaidi

  • ​TUKO TAYARI KULINDA MIUNDOMBINU YA RELI YA SGR: WANANCHI KILOSA
    05
    November
    2023

    ​TUKO TAYARI KULINDA MIUNDOMBINU YA RELI YA SGR: WANANCHI KILOSA

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli yenye kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha pili Morogoro - Makutupora Soma zaidi

  • ​WANANCHI MKOANI DODOMA WAPATA ELIMU KUHUSU KUANZA KWA MRADI WA DARAJA LA GODEGODE
    21
    October
    2023

    ​WANANCHI MKOANI DODOMA WAPATA ELIMU KUHUSU KUANZA KWA MRADI WA DARAJA LA GODEGODE

    ​Shirika la Reli Tanzania limefanya kampeni ya uelewa kwa wananchi wanaoishi katika vijiji vinavyozunguka mradi wa ujenzi wa daraja la Godegode Soma zaidi

  • ​WANANCHI TAKRIBANI 250 WALIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA SGR KIPANDE CHA PILI MOROGORO - MAKUTOPORA
    20
    October
    2023

    ​WANANCHI TAKRIBANI 250 WALIPWA FIDIA KUPISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA SGR KIPANDE CHA PILI MOROGORO - MAKUTOPORA

    Shirika la Reli Tanzania limelipa fidia kwa wakazi ambao maeneo yao yamepitiwa na mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha pili Morogoro - Makutopora Oktoba, 2023 Soma zaidi

  • KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA USALAMA TABORA
    13
    October
    2023

    KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA USALAMA TABORA

    . Soma zaidi