Habari Mpya
-
02
December
2020WAFANYAKAZI WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO WATEMBELEA SGR
Wafanyakazi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wametembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kutoka Dodoma mpaka Morogoro, hivi karibuni Novemba, 2020. Soma zaidi
-
19
November
2020WAZIRI MKUU; TRENI ZA RELI YA KISASA KUANZA KUTOA HUDUMA MAPEMA 2021
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali inatarajia kukamilisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro na kuanza kutoa huduma mapema mwaka 2021 Soma zaidi
-
16
November
2020SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC LAENDELEA NA ZOEZI LA KUHAMISHA MAKABURI.
Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na zoezi la kuhamisha makaburi katika Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro katika kijiji cha Munisagara ili kupisha Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR.Kazi ya kuhamisha Makaburi haya Umefanyika rasmi hivi karibuni Novemba 2020 Soma zaidi
-
24
October
2020RAIS MAGUFULI AZINDUA HUDUMA ZA USAFIRI WA TRENI KATI YA DAR ES SALAAM, TANGA NA ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli azindua rasmi huduma za usafiri wa treni kati ya Dar es Salaam, Tanga na Arusha, katika Stesheni ya Arusha Oktoba 24, 2020. Soma zaidi
-
16
October
2020WASANII, WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA MRADI WA RELI YA KISASA DAR - RUVU
Wasanii wa tasnia mbalimbali pamoja na waandishi wa habari wamepata fursa ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam hadi Ruvu mkoani Pwani. Soma zaidi
-
11
October
2020WAZIRI KAMWELWE AZINDUA KICHWA CHA TRENI, VINGINE SITA KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amezindua kichwa kimoja cha treni kati ya vichwa saba vilivyofanyiwa ukarabati katika Karakana ya Morogoro, hafla hiyo imefanyika katika Stesheni ya Dodoma Oktoba 11, 2020. Soma zaidi