Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


 • ​WANANCHI JIJINI MWANZA WASHUKURU UJIO WA MRADI WA SGR
  02
  March
  2021

  ​WANANCHI JIJINI MWANZA WASHUKURU UJIO WA MRADI WA SGR

  ​Wananchi wa kijiji cha Nyamatala kata ya Ukiliguru wilaya ya Misungwi jijini Mwanza wameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ujio wa Mradi wa Reli ya Kisasa – SGR jijini humo kufuatia hatua za awali za maandalizi kwa ajili ya mradi huo kuanza, hivi karibuni Machi 2021. Soma zaidi

 • ​MAENEO ZAIDI YA ISHIRINI NA NANE YANUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
  02
  March
  2021

  ​MAENEO ZAIDI YA ISHIRINI NA NANE YANUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

  Shirika la Reli Tanzania – TRC limewanufaisha wananchi wa maeneo zaidi ya ishirini na nane kwa kutoa elimu ya mafunzo ya ujasiriamali na kujikwamua kiuchumi kwa wananchi waliotwaliwa na ardhi na kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam – Morogoro, Februari 2021, hivi karibuni. Soma zaidi

 • ​WANANCHI WAHAMASIKA, WAJITOKEZA KUPATA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
  25
  February
  2021

  ​WANANCHI WAHAMASIKA, WAJITOKEZA KUPATA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

  ​Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea kuwapa hamasa wananchi waliotwaliwa ardhi na kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam- Morogoro Soma zaidi

 • ​TRC YATOA MAFUNZO KWA WANANCHI JUU YA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
  19
  February
  2021

  ​TRC YATOA MAFUNZO KWA WANANCHI JUU YA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

  ​Shirika la Reli Tanzania - TRC limetoa mafunzo kwa wananchi ambao maeneo yao yametwaliwa na mradi wa reli ya kisasa - SGR kipande cha kwanza Dar es Salaam - Morogoro Soma zaidi

 • SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC LIMEKABIDHI BEHEWA 40 KWA SHIRIKA LA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI - WFP
  18
  February
  2021

  SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC LIMEKABIDHI BEHEWA 40 KWA SHIRIKA LA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI - WFP

  TRC limekabidhi behewa 40 za mizigo kwa Shirika la mpango wa chakula duniani - WFP katika hafla fupi iliyofanyika katika kituo cha mizigo Ilala jijini Dar es Salaam Februari 17, 2021. Soma zaidi

 • ​SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAIBUKA KIDEDEA KWA KUPATA TUZO YA KURASA BORA YA SERIKALI MTANDAONI
  17
  February
  2021

  ​SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAIBUKA KIDEDEA KWA KUPATA TUZO YA KURASA BORA YA SERIKALI MTANDAONI

  ​Shirika la Reli Tanzania laibuka kidedea kwa kupata tuzo ya kurasa bora ya serikali mtandaoni iliyopokelewa kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na uongozi waShirika la Reli Tanzania - TRC katika ukumbi wa Akemi Februari 16, 2021. Soma zaidi

Tanzania Census 2022