Habari Mpya
-
01
April
2019WAWAKILISHI WA WAJUMBE WA KAMATI YA MADENI YA KITAIFA WAFANYA ZIARA KATIKA MRADI WA SGR
Wawakilishi wa Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Madeni watembelea kambi za Mradi wa Ujenzi wa Reli ya KIsasa – SGR za Ilala na Soga kipande cha Dar - Moro kwa lengo la kuona maendeleo ya Mradi Aprili 1, 2019. Soma zaidi
-
29
March
2019SEKRETARIETI YA BARAZA LA USALAMA LA TAIFA YAIPONGEZA TRC KWA KASI YA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR
Sekretarieti ya Baraza la Usalama la Taifa yafanya ziara kukagua maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR Dar es Salaam - Makutupora Machi 2019. Soma zaidi
-
21
March
2019WAZIRI MKUU MSTAAFU KENYA RAILA ODINGA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA UAMUZI WA UJENZI WA RELI YA KISASA – SGR.
Waziri mkuu mstaafu wa Kenya Mhe. Raila Odinga atembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro. Soma zaidi
-
19
March
2019WAZIRI MKUU AWAHIMIZA MAWAZIRI NA WAKUU WA TAASISI KUTOA VIPAUMBELE KWA VITENGO VYA HABARI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa afungua kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasiliano wa serikali. Soma zaidi
-
28
February
2019JESHI LA POLISI LAHAMASIKA KUIMARISHA HALI YA USALAMA KATIKA MAENEO YALIYOPITIWA NA MRADI WA SGR
Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Simon Sirro atembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR Dar es Salaam hadi Kilosa kuona hali ya usalama wa mali na wafanyakazi katika mradi wa SGR hivi karibuni Februari 2019. Soma zaidi
-
18
February
2019TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA
Shirika la Reli Tanzania laendelea kulipa fidia ya ardhi kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam ambao maeneo yao yamepitiwa na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR awamu ya kwanza Dar es Salaam – Morogoro Soma zaidi