Habari Mpya
-
23
July
2019UJENZI WA MAHANDAKI RELI YA KISSA - SGR WAANZA RASMI MKOANI MOROGORO
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Nditiye azindua rasmi uchorongaji Milima Soma zaidi
-
21
July
2019WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFANYA UFUNGUZI WA RELI YA TANGA - MOSHI/ KILIMANJARO
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe . Kassim Majaliwa amefanya ufunguzi wa njia ya reli ya Tanga mpaka Moshi / Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika mjini Moshi , Kilimanjaro hivi karibuni Julai 2019, Soma zaidi
-
14
June
2019RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO AMPONGEZA JPM KWA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR.
-
13
June
2019ZOEZI LA KUHAMISHA MAKABURI KUONGEZA KASI YA MRADI WA SGR MORO -MAKUTUPORA
Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na zoezi la kuhamisha makaburi katika maeneo ambayo Reli ya Kisasa - SGR inapita kuanzia Morogoro hadi Makutupora mkoani Singida, hivi karibuni Juni 2019. Soma zaidi
-
13
June
2019WAZIRI WA VIWANDA NA UWEKEZAJI SUDAN KUSINI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR.
.Waziri wa Viwanda na Uwekezaji Sudan Kusini Ndugu Paul Mayomu atembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa-SGR kipande cha Daresalaam - Morogoro, Ziara hiyo imefanyika hivi karibuniJune , 2019. Soma zaidi
-
19
May
2019MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA KUPANDISHA THAMANI YA ARDHI
4Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Wiliam Lukuvi afanya ziara katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa Soga Kibaha mkoani Pwani hivi karibuni Mwezi 2019. Soma zaidi