Habari Mpya
-
15
August
2019MABALOZI WA TANZANIA KUTOKA NCHI 42 DUNIANI WAFURAHISHWA NA KASI YA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA – SGR
Shirika la reli Tanzania - TRC lapokea Ugeni wa mabalozi wa Tanzania takribani 42 kutoka nchi mbalimbali Duniani wametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Agosti 15, 2019. Soma zaidi
-
15
August
2019TRC KUCHOCHEA UKUAJI UCHUMI WA NCHI ZA JUMUIYA YA MAENDELEO YA KUSINI MWA AFRIKA - SADC
Shirika la Reli Tanzania – TRC limeonekana kuwa chachu ya kukuza uchumi kwa kuendeleza sekta ya miundombinu ya reli nchini katika maadhimisho ya maoneshoya 4 ya wiki ya viwanda ya jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika - SADC Soma zaidi
-
-
24
July
2019BURUNDI YAFURAHIA MRADI WA RELI YA SGR NA BANDARI KAVU KWALA - RUVU
Serikali ya Burundi imeufurahia mradi mkubwa wa reli ya SGR unaoendelea kufanyika nchini pamoja na ujio wa bandari kavu iliyopo eneo la kwala , ambapo nchi jirani ikiwemo Burundi, Rwanda, Uganda, Congo, Malawi, Zambia zitanufaika na usafirishaji wa mizigo . Soma zaidi
-
23
July
2019UJENZI WA MAHANDAKI RELI YA KISSA - SGR WAANZA RASMI MKOANI MOROGORO
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Nditiye azindua rasmi uchorongaji Milima Soma zaidi
-
21
July
2019WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFANYA UFUNGUZI WA RELI YA TANGA - MOSHI/ KILIMANJARO
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe . Kassim Majaliwa amefanya ufunguzi wa njia ya reli ya Tanga mpaka Moshi / Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika mjini Moshi , Kilimanjaro hivi karibuni Julai 2019, Soma zaidi