Habari Mpya
-
23
August
2019MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA AFRIKA AIPONGEZA TANZANIA KWA KUJENGA RELI YA KISASA KWA FEDHA ZAKE ZA NDANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bi. Anne Kabagambe amefanya ziara fupi kuona Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Agosti 22, 2019. Soma zaidi
-
22
August
2019MSEMAJI MKUU WA SERIKALI Dk. HASSAN ABBASI AIPONGEZA TRC KWA KUTANGAZA VYEMA MIRADI NA HUDUMA ZITOLEWAZO NA TRC.
Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassan Abbasi ametembelea ofisi ya makao makuu Shirika la Reli Tanzania - TRC kwa lengo la kutoa elimu kuhusu muongozo na Mkakati wa Mawasiliano ya Shirika Soma zaidi
-
15
August
2019MABALOZI WA TANZANIA KUTOKA NCHI 42 DUNIANI WAFURAHISHWA NA KASI YA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA – SGR
Shirika la reli Tanzania - TRC lapokea Ugeni wa mabalozi wa Tanzania takribani 42 kutoka nchi mbalimbali Duniani wametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Agosti 15, 2019. Soma zaidi
-
15
August
2019TRC KUCHOCHEA UKUAJI UCHUMI WA NCHI ZA JUMUIYA YA MAENDELEO YA KUSINI MWA AFRIKA - SADC
Shirika la Reli Tanzania – TRC limeonekana kuwa chachu ya kukuza uchumi kwa kuendeleza sekta ya miundombinu ya reli nchini katika maadhimisho ya maoneshoya 4 ya wiki ya viwanda ya jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika - SADC Soma zaidi
-
24
July
2019BURUNDI YAFURAHIA MRADI WA RELI YA SGR NA BANDARI KAVU KWALA - RUVU
Serikali ya Burundi imeufurahia mradi mkubwa wa reli ya SGR unaoendelea kufanyika nchini pamoja na ujio wa bandari kavu iliyopo eneo la kwala , ambapo nchi jirani ikiwemo Burundi, Rwanda, Uganda, Congo, Malawi, Zambia zitanufaika na usafirishaji wa mizigo . Soma zaidi