Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Habari Mpya


  • WASANII, WANAMICHEZO, WASHEREHESHAJI WAFURAHISHWA NA MRADI WA SGR
    18
    February
    2019

    WASANII, WANAMICHEZO, WASHEREHESHAJI WAFURAHISHWA NA MRADI WA SGR

    Wasanii, Wanamichezo, Wanahabari na Washereheshaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda watembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro kwa lengo la kuona maendeleo ya Mradi pamoja na kujifunza kuhusu mradi wa SGR mapema mwezi Februari 2019. Soma zaidi

  • WAZIRI KAMWELWE AZINDUA UWEKAJI RELI YA KISASA
    23
    November
    2018

    WAZIRI KAMWELWE AZINDUA UWEKAJI RELI YA KISASA

    . Soma zaidi

  • TRC YAZINDUA NEMBO MPYA NA BENDERA
    23
    November
    2018

    TRC YAZINDUA NEMBO MPYA NA BENDERA

    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Nditiye azindua rasmi Nembo mpya na Bendera ya TRC katika hafla ya Wiki ya TRC iliyohudhuriwa na Wafanyakazi wa TRC, wadau mbali mbali wa usafiri wa Reli na waandishi wa Habari Makao makuu ya TRC jijini Dar es Salaam Septemba 2018. Soma zaidi

  • TRC YAFUNGUA SAFARI ZA TRENI ZA MIZIGO  KATI YA DAR NA KAMPALA
    23
    November
    2018

    TRC YAFUNGUA SAFARI ZA TRENI ZA MIZIGO KATI YA DAR NA KAMPALA

    . Soma zaidi

  • WAZIRI MBARAWA AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI WA SHIRIKA LA RELI TANZANIA
    14
    June
    2018

    WAZIRI MBARAWA AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI WA SHIRIKA LA RELI TANZANIA

    Waziri wa ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa leo Juni 11, 2018 amezindu rasmi bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania. Soma zaidi

  • RAIS MAGUFULI AZINDUA AWAMU YA PILI YA UJENZI WA RELI YA KISASA KUTOKA MORODORO HADI MAKUTUPORA MKOANI DODOMA
    21
    May
    2018

    RAIS MAGUFULI AZINDUA AWAMU YA PILI YA UJENZI WA RELI YA KISASA KUTOKA MORODORO HADI MAKUTUPORA MKOANI DODOMA

    Rais Magufuli aweka jiwe la msingi awamu ya pili ya ujenzi wa reli ya kisasa(SGR) yenye urefu wa 426km kutoka Morogoro hadi Makutupora mkoani Dodoma, hatua hiyo itaifanya Tanzania kuwa na treni ya umeme itakayokwenda kwa kasi ya 160 kwa saa kwa treni ya abiria na 120 kwa saa kwa treni ya mizigo. Soma zaidi