Habari Mpya
-
18
February
2019WASANII, WANAMICHEZO, WASHEREHESHAJI WAFURAHISHWA NA MRADI WA SGR
Wasanii, Wanamichezo, Wanahabari na Washereheshaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda watembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro kwa lengo la kuona maendeleo ya Mradi pamoja na kujifunza kuhusu mradi wa SGR mapema mwezi Februari 2019. Soma zaidi
-
-
23
November
2018TRC YAZINDUA NEMBO MPYA NA BENDERA
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Nditiye azindua rasmi Nembo mpya na Bendera ya TRC katika hafla ya Wiki ya TRC iliyohudhuriwa na Wafanyakazi wa TRC, wadau mbali mbali wa usafiri wa Reli na waandishi wa Habari Makao makuu ya TRC jijini Dar es Salaam Septemba 2018. Soma zaidi
-
-
14
June
2018WAZIRI MBARAWA AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI WA SHIRIKA LA RELI TANZANIA
Waziri wa ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa leo Juni 11, 2018 amezindu rasmi bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania. Soma zaidi
-
21
May
2018RAIS MAGUFULI AZINDUA AWAMU YA PILI YA UJENZI WA RELI YA KISASA KUTOKA MORODORO HADI MAKUTUPORA MKOANI DODOMA
Rais Magufuli aweka jiwe la msingi awamu ya pili ya ujenzi wa reli ya kisasa(SGR) yenye urefu wa 426km kutoka Morogoro hadi Makutupora mkoani Dodoma, hatua hiyo itaifanya Tanzania kuwa na treni ya umeme itakayokwenda kwa kasi ya 160 kwa saa kwa treni ya abiria na 120 kwa saa kwa treni ya mizigo. Soma zaidi