Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Treni za Mizigo


Treni za Mizigo
1119
January
2018

Tunatoa huduma ya usafirishaji wa mizigo, treni za mizigo zinafanya safari zake kupitia reli ya Kati na Tanga ambapo bidhaa mbalimbali zinasafirishwa kwenda kwa wateja wetu wa ndani ya nchi na nchi jirani za Burundi, Rwanda, Uganda na nchi ya Democrasia ya Congo kupitia Isaka, Mwanza na Kigoma.