Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Treni ya Mjini


Treni ya Mjini
1119
January
2018

Zipo treni mbili za mjini zinazofanya safari zake kati ya Dsm kwenda Ubungo na Pugu nyakati za asubuhi na jioni kwa siku za wiki pamoja na Jumamosi isipokuwa kwa siku za Jumapili na siku za Sikukuu. Tikiti zinapatikana kwa Shs. 400 kwa treni ya Dsm-Ubungo na Shs. 600 kwa treni ya Dsm-Pugu, na Shs. 100 kwa Mwanafunzi.