Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Treni ya Ordinary


Treni ya Ordinary
1119
January
2018

Tuna treni ya Ordinary ambayo inazofanya safari zake mara mbili kwa wiki, kutoka Dsm-Kigoma na Mwanza kupitia Tabora na kurudi Dsm. Treni hii ina Daraja la kwanza kulala, la pili kulala na kukaa na la tatu kukaa, pia treni hii ina behewa maalumu kwa kutoa huduma ya chakula na vinywaji.