Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Treni ya Deluxe


Treni ya Deluxe
1119
January
2018

Treni ya Deluxe ni treni ya abiria ya kisasa inayofanya safari zake kati ya Dsm-Kigoma, Tabora na Mpanda. Ina daraja la pili kulala, kukaa na daraja la tatu. Pia ina behewa maalum linalotoa huduma ya chakula na vinywaji kutoka kwa wataalam waliobobea. Ina mifumo maalum kwa ajili ya kuchaji simu na huduma ya mtandao.