TRC YAZINDUA NEMBO MPYA NA BENDERA

23
November
2018
November
2018
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Nditiye azindua rasmi Nembo mpya na Bendera ya TRC katika hafla ya Wiki ya TRC iliyohudhuriwa na Wafanyakazi wa TRC, wadau mbali mbali wa usafiri wa Reli na waandishi wa Habari Makao makuu ya TRC jijini Dar es Salaam Septemba 2018.