Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

Maktaba ya Picha



  • 10

    Utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa(SGR) kwa awamu ya pili kutoka Morogoro hadi Makutupora mkoani Dodoma(jumla ya 336km) kati ya Shirika la Reli Tanzania na Kampuni ya Yapi Markezi ya Uturuki.

    Imewekwa: May 09, 2018

  • 10

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa Reli ya Kisasa(SGR) awamu ya pili kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.

    Imewekwa: May 09, 2018