Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Habari Mpya

 • TRC YAHAMASISHA WANANCHI MKOANI DODOMA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA SHUGHULI ZA MRADI WA SGR

  Wakati zoezi la fidia ya Majengo, Mashamba na Viwanja likiendelea ili kupisha Ujenzi wa Reli ya kisasa - SGR Morogoro - Makutupora, Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la Kuhamisha Makaburi linaloendelea mkoani Dodoma hivi karibuni Oktoba 2019.

  October 10, 2019 Soma zaidi
 • TRC YAENDELEA NA ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA ILI KUPISHA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA MOROGORO - MAKUTUPORA

  Shirika la Reli Tanzania - TRC laendelea na zoezi la ulipaji wa fidia na kifuta machozi ili kupisha ujenzi wa reli ya kisasa - SGR kwa awamu ya pili Morogoro - Makutupora hivi karibuni Oktoba 2019.

  October 06, 2019 Soma zaidi
 • Soma Habari zaidi

Njia zetu

Angalia Zaidi